
Spika na sinema ya nyumbani
Mfumo wa spika za sinema ya nyumbani
Modeli TR-045
- USB
- Kadi ya SD
Seti kamili ya sinema ya nyumbani yenye subwoofer, spika ya katikati na spika mbili za pembeni. Cheza muziki kutoka USB au kadi ya SD.
Bei kwa maombi
Bei inategemea mzigo na idadi. Uliza bei ya leo.
Dhamana ya mwaka 1
Vipimo
| Namba | TR-045 |
|---|---|
| Aina | Spika na sinema ya nyumbani |
| Vipande | Subwoofer, spika ya katikati na spika 2 za pembeni |
| Viingizo | USB, kadi ya SD/MMC |
| Skrini | LED |
| Dhamana | Dhamana ya mwaka 1 |
Kilichomo kwenye boksi
Vilivyomo kwenye boksi vinaweza kutofautiana kwa mzigo. Tuulize WhatsApp tuthibitishe kabla hujanunua.
Dhamana na huduma baada ya mauzo
Mwaka 1 dhidi ya kasoro za kiwandani. Tunza risiti yako. Kukiwa na tatizo, wasiliana nasi na mafundi wetu watakagua.
Soma sera ya dhamanaMaswali
Ninaagizaje?
Bonyeza kitufe cha WhatsApp, tupigie simu, au tembelea duka letu karibu na Mtaa wa Magila, Kariakoo. Tunathibitisha bei na upatikanaji kabla hujalipa.
Kuna dhamana?
Ndiyo. Bidhaa hii ina dhamana dhidi ya kasoro za kiwandani. Tunza risiti yako. Angalia ukurasa wa dhamana kwa maelezo zaidi.
Mnauza kwa jumla?
Ndiyo. Maduka, wakandarasi na taasisi wanaweza kuomba bidhaa kwa wingi. Tutumie orodha yako WhatsApp.



